Uwanja wa SQL ndani ya kivinjari

Endesha SQLite kwenye kivinjari chako ukiwa na datasets za biashara, shule, kliniki na mobile money za Afrika. Kagua schemas, kamilisha changamoto, ingiza CSV, chambua mipango ya query na uhamishe matokeo bila seva.

4sample datasets
0guided challenges
0queries kwenye kikao hiki
SQLitevia sql.js WebAssembly
Pakiaing SQLite engine...
Istilahi na mipaka: Istilahi za msanidi programu hazitafsiriwi kiholela: JSON, SQL, Regex, JWT, Base64, UUID, PWA, HTML, API, cron na manifest ni majina ya teknolojia. Kiswahili hapa kinaeleza kazi ya zana, lini uitumie, nini kinabaki ndani ya kivinjari, na wapi unahitaji provider docs au ukaguzi wa security kabla ya production.
Uwanja wa SQL kwa Kiswahili. Jifunze na test SQL queries kwa datasets za mfano. Matokeo ya practice si database yako ya production. Kwa security, API, hosting, SEO, PWA, USSD au domain decisions, hakiki source matokeo, provider docs na production environment kabla ya launch/uzinduzi.
Workspace

Queries zako huendeshwa ndani ya kivinjari chako. Jedwali za CSV ulizoingiza hudumu kwa kikao hiki tu isipokuwa uhamishe database ya SQLite.

SQL Kihariri
Matokeo
No query run yet
Endesha query kuona safu hapa.
Chambua na Hamisha
Endesha Explain plan kuona jinsi SQLite itakavyotekeleza query yako.